
Matendo ya huruma
About the event
🌟 Habari za Leo!
Nawakaribisha katika huduma hii njema pale Dodoma. Karibu ujiunge nasi kwenye group letu la Kijana Muadventista kanda ya kati kupitia hapa.
Mwenye chochote: kitabu, nguo, chakula, muda, pesa, au wazo, karibu sana!
Pia, unaweza kujiunga na group kubwa la Kijana Muadventista WhatsApp kwa hapa.
Location
Dodoma, Tanzania
Get directionsDetails
Åbn på mobilen
Scan med kameraet – begivenheden åbnes i Somo-appen.