
Education
SHULE YA BIBLIA YA LIKIZO (VBS) 2026
Sobre el evento
🌟 SHULE YA BIBLIA YA LIKIZO (VBS) 2026 🌟
Idara ya Watoto – DPC inawakaribisha wazazi wote kuwasajili watoto wao kwa ajili ya Shule ya Biblia ya Likizo (VBS) 2026! 🎉📌
VBS ya Kiswahili: 15 Juni – 21 Juni 2026
👧🧒 Umri wa Watoto: Miaka 3 – 15
✅ Jisajili Sasa: Usajili wa VBS ya Kiswahili
Usikose nafasi hii nzuri kwa watoto wako kujifunza Neno la Mungu, kukua kiroho, na kufurahia shughuli mbalimbali za kujenga imani!
#DPC #VBS2026 #ShuleYaBibliaYaLikizo #HudumaYaWatoto #WatotoWaDPC #Imani #YesuAnawapendaWatoto #Kanisa #FamiliaYaImani #DPCChurch
Eventos similares
Ubicación
Kinondoni Road, +255 Dar es Salaam, Tanzania
Cómo llegar