
VISIT KIGOMA
Karibu Kigoma – Fursa Kila Kona! 🌍✨
Kusafiri na treni kwenda Kigoma ni zaidi ya utalii; ni nafasi ya kipekee kuona mandhari nzuri ya Tanzania, kujifunza kuhusu uoto wa asili, na kufurahia chakula na hadithi nzuri ndani ya treni. Huduma za afya pia zinapatikana kwa usalama na starehe katika safari hii.
Safari hii inawafaa watu wanaopenda kutalii kwa lengo la kujifunza, kuwekeza, na kufanya biashara. Hii ni safari ya siku 7 itakayoanza Dar es Salaam, ikijumuisha:
✅️ Nauli ya kwenda na kurudi
✅️ Malazi
✅️ Chakula, vinywaji & burudani
✅️ Ziara ya Gombe National Park
✅️ Makumbusho ya Dr. Livingstone
✅️ Soko la Sabuni SIDO
✅️ Soko la BuzeBazeba
✅️ Ziara ya Kambi ya Wakimbizi
Faida utakazopata:
💥 Kukutana na watu wenye mawazo na uwekezaji
💥 Kujifunza kwa vitendo kuhusu Kigoma
💥 Kupata mawazo mapya ya miradi na biashara
💥 Kutoa mwangaza mpya wa maisha
💥 Kuunda mahusiano ya kudumu
💥 Kugundua historia na maisha ya Kigoma
Andaa Tsh 580,000 tu! 💰
Kwa maelezo zaidi:
📞 0746 465 095
📞 0693 537 327
Jiunge na safari yetu!
Karibu Kigoma huku kuna fursa kila kona! 💥 #VISITKIGOMA #fursakilakona #mwishowarelimwanz
Kisutu, Tanzania
Cómo llegar