
𝗧𝗔𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗛𝗜𝗦𝗧𝗢𝗥𝗜𝗔 𝗨𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗚𝗢𝗚𝗢 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
À propos de l'événement
Karibu ujiunge na Kikundi cha Umoja wa Wagogo Tanzania kwa ajili ya kusaidiana, hasa katika nyakati za shida kama vile maradhi, majanga, ajali, na vifo. 🍃
Tunasimamisha huduma zetu Tanzania nzima, ikiwa na makao makuu Dodoma. Jiunge nasi leo ili ongeza familia zinazosaidiana katika maidhara yako! 🏡
Wasiliana nasi:
📞 Simu: +255766 403 568
📺 YouTube Channel: UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
📘 Facebook Page: UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
📱 WhatsApp Channel: WhatsApp Channel
Viongozi:
- Mwenyekiti Mkuu: @Asheri Mahebu
- Katibu Mkuu: @Anthony Michael
- Mhasibu: @Cren Philipo
Jiunge nasi kuelekea Tamasha la mwaka wa kwanza, oktoba 25 mwaka huu! ✨
#Umoja #wa #wagogo_Tanzania
Lieu
Dar es Salaam, Tanzania
Itinéraire



