𝗧𝗔𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔 π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—›π—œπ—¦π—§π—’π—₯π—œπ—” 𝗨𝗠𝗒𝗝𝗔 π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—šπ—’π—šπ—’ π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—”

𝗧𝗔𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔 π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—›π—œπ—¦π—§π—’π—₯π—œπ—” 𝗨𝗠𝗒𝗝𝗔 π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—šπ—’π—šπ—’ π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—”

dom 25 ott
13:00 – Tardi
Dar es Salaam, TanzaniaVedi il sito
Info sull'evento

Karibu ujiunge na Kikundi cha Umoja wa Wagogo Tanzania kwa ajili ya kusaidiana, hasa katika nyakati za shida kama vile maradhi, majanga, ajali, na vifo. πŸƒ

Tunasimamisha huduma zetu Tanzania nzima, ikiwa na makao makuu Dodoma. Jiunge nasi leo ili ongeza familia zinazosaidiana katika maidhara yako! 🏑

Wasiliana nasi:
πŸ“ž Simu: +255766 403 568
πŸ“Ί YouTube Channel: UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
πŸ“˜ Facebook Page: UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
πŸ“± WhatsApp Channel: WhatsApp Channel

Viongozi:

  1. Mwenyekiti Mkuu: @Asheri Mahebu
  2. Katibu Mkuu: @Anthony Michael
  3. Mhasibu: @Cren Philipo

Jiunge nasi kuelekea Tamasha la mwaka wa kwanza, oktoba 25 mwaka huu! ✨
#Umoja #wa #wagogo_Tanzania

Trovato da SomoΒ·Vedi originale
Luogo

Dar es Salaam, Tanzania

Come arrivare