
Rise 2026
TANGAZO LA MKUTANO MKUBWA – RISE 2026 🔥📢
Wananchi wote wa Mwanza na maeneo ya jirani... huu ni wito wako!
Je, unataka:
✅ Kuongeza kipato chako kwa muda wa ziada au full time?
✅ Kujijenga kiuchumi na kusimama imara?
✅ Kuacha kuota na kuanza kuishi maisha ya ndoto zako?
Basi usikose MKUTANO MKUBWA WA RISE 2026 — mkutano maalum wa maamuzi, fursa na mabadiliko ya kweli ya maisha!
Katika RISE 2026 utajifunza:
🔥 Njia halali na za kisasa za kuongeza kipato
🔥 Jinsi ya kuanza safari ya mafanikio bila kubahatisha
🔥 Namna ya kujenga uhuru wa kifedha na kuishi maisha unayoyataka
Huu sio mkutano wa kawaida — ni mkutano wa watu waliokata tamaa ya kuishi kawaida na wako tayari KUPANDA DARAJA LA MAISHA yao 💪
📌 Nafasi ni chache!
👉 Jiandikishe sasa kwa kupiga simu au kutuma ujumbe:
📞 0621 929 073
📞 0749 495 319
✨ RISE 2026 – Chukua Hatua Leo, Badilisha Kesho Yako! ✨
Mwanza, Tanzania
Come arrivare