SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

lun 3 ago
09:00Tardi
Kisutu, TanzaniaVedi il sito
Info sull'evento

🌍✨ Siku ya Wanawake Duniani 2026 ✨🌍

Mwanamke ni nguzo ya familia, jamii na taifa. Huu ni wakati wetu wa kuungana, kusherehekea nguvu na mchango wa wanawake katika dunia ya leo.

📅 Tukio la kipekee litafanyika katika: Suma JKT Uhuru Hall - Mwenge
Wakati: Saa nne asubuhi
👗 Dress Code: Kitenge (Njoo uangaze kwa urembo wa asili!)

Hii sio sherehe tu… ni jukwaa la kuhamasishana, kujifunza, kupeana motisha na kuinukana kiuchumi na kijamii.

Kila mwanamke ana ndoto, thamani, na nguvu ya kubadilisha dunia. 💪🏾💖

Usikose kuwa sehemu ya siku hii ya kipekee! Njoo tujenge mtandao, tushirikishane uzoefu, na tusherehekee UANAMKE kwa fahari!

📞 Kwa mawasiliano: 0755647862

#SikuYaWanawakeDuniani #MwanamkeNiNguvu #WanawakeTunaweza #KitengeDay #InukaMwanamke
👉 Pata Tiketi Zako Hapa!

Trovato da Somo·Vedi originale
Luogo

Kisutu, Tanzania

Come arrivare

Questa settimana a Sverige