SHULE YA BIBLIA YA LIKIZO (VBS) 2026
Education

SHULE YA BIBLIA YA LIKIZO (VBS) 2026

About the event

🌟 SHULE YA BIBLIA YA LIKIZO (VBS) 2026 🌟
Idara ya Watoto – DPC inawakaribisha wazazi wote kuwasajili watoto wao kwa ajili ya Shule ya Biblia ya Likizo (VBS) 2026! πŸŽ‰πŸ“Œ
VBS ya Kiswahili: 15 Juni – 21 Juni 2026
πŸ‘§πŸ§’ Umri wa Watoto: Miaka 3 – 15
βœ… Jisajili Sasa: Usajili wa VBS ya Kiswahili
Usikose nafasi hii nzuri kwa watoto wako kujifunza Neno la Mungu, kukua kiroho, na kufurahia shughuli mbalimbali za kujenga imani!
#DPC #VBS2026 #ShuleYaBibliaYaLikizo #HudumaYaWatoto #WatotoWaDPC #Imani #YesuAnawapendaWatoto #Kanisa #FamiliaYaImani #DPCChurch

Location

Kinondoni Road, +255 Dar es Salaam, Tanzania

Get directions

Similar events

More events in Sverige