
๐ง๐๐ ๐๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ฆ๐ง๐ข๐ฅ๐๐ ๐จ๐ ๐ข๐๐ ๐ช๐ ๐ช๐๐๐ข๐๐ข ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐
About the event
Karibu ujiunge na Kikundi cha Umoja wa Wagogo Tanzania kwa ajili ya kusaidiana, hasa katika nyakati za shida kama vile maradhi, majanga, ajali, na vifo. ๐
Tunasimamisha huduma zetu Tanzania nzima, ikiwa na makao makuu Dodoma. Jiunge nasi leo ili ongeza familia zinazosaidiana katika maidhara yako! ๐ก
Wasiliana nasi:
๐ Simu: +255766 403 568
๐บ YouTube Channel: UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
๐ Facebook Page: UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
๐ฑ WhatsApp Channel: WhatsApp Channel
Viongozi:
- Mwenyekiti Mkuu: @Asheri Mahebu
- Katibu Mkuu: @Anthony Michael
- Mhasibu: @Cren Philipo
Jiunge nasi kuelekea Tamasha la mwaka wa kwanza, oktoba 25 mwaka huu! โจ
#Umoja #wa #wagogo_Tanzania
Location
Dar es Salaam, Tanzania
Get directions



