SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mon, Aug 3
09:00 AM – Late
Kisutu, TanzaniaSee website
About the event

🌍✨ Siku ya Wanawake Duniani 2026 ✨🌍

Mwanamke ni nguzo ya familia, jamii na taifa. Huu ni wakati wetu wa kuungana, kusherehekea nguvu na mchango wa wanawake katika dunia ya leo.

πŸ“… Tukio la kipekee litafanyika katika: Suma JKT Uhuru Hall - Mwenge
⏰ Wakati: Saa nne asubuhi
πŸ‘— Dress Code: Kitenge (Njoo uangaze kwa urembo wa asili!)

Hii sio sherehe tu… ni jukwaa la kuhamasishana, kujifunza, kupeana motisha na kuinukana kiuchumi na kijamii.

Kila mwanamke ana ndoto, thamani, na nguvu ya kubadilisha dunia. πŸ’ͺπŸΎπŸ’–

Usikose kuwa sehemu ya siku hii ya kipekee! Njoo tujenge mtandao, tushirikishane uzoefu, na tusherehekee UANAMKE kwa fahari!

πŸ“ž Kwa mawasiliano: 0755647862

#SikuYaWanawakeDuniani #MwanamkeNiNguvu #WanawakeTunaweza #KitengeDay #InukaMwanamke
πŸ‘‰ Pata Tiketi Zako Hapa!

Found by SomoΒ·See original
Location

Kisutu, Tanzania

Get directions

This week in Sverige